Hii Picha Imeniuma saana.

Ni technolojia duni tu ndo sababu. Maji hayo yakesafishika na yakafaa kutumiwa na binadamu.
 
Mungu awasaidie maana viongozi wao wameshindwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…