Hii Picha Imeniuma saana.

Hii Picha Imeniuma saana.

MICHUTZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
271
Reaction score
531
Mtoto Kutoka Nchini Kenya eneo la Turkana akikinga mkono ili anywe Maji Ya Kunywa,
Ukitazama Hayo Maji aisee Raisi Wa Kenya haoni hii ni hatari?
FB_IMG_1552971721934.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni technolojia duni tu ndo sababu. Maji hayo yakesafishika na yakafaa kutumiwa na binadamu.
 
Mungu awasaidie maana viongozi wao wameshindwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na huku kwetu hali zipo zinawakumba wazee na pia kwenye ishu ya magonjwa hali ni mbaya,afu watu wengi wanaoishi mijini wanajua Kuna nafuu nchi nzima lakini ukweli ni kwamba vijijini Kuna hali duni na za kusikitisha sawa tu hao wakenya,in rural ni 35% tu ya watu wanapata maji,tembea manyara dodoma songea chunya katavi utaelewa
 
Back
Top Bottom