Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa kwa uongo wako sijui unafaidika na nini. Hospital gani hiyo ambayo manesi wake wanavaa sare hizo? Hiyo ni Somalia kama sikoseiTanzania Please tell the world what is happening in Simiyu
View attachment 1049699
Unless if it's a wasting sydrome/severe malnutrition as a complication of aids WHO Clinical stage 4,there is no any proof hapo ni TzTanzania Please tell the world what is happening in Simiyu
View attachment 1049699
Wewe ulienda shule lakin bado unaumbuzi ndani yakoKosa tulilolifanya wana EAST AFRICA ni kuomba Uhuru mapema. Tungeishi tu kama hatujui kuwa tunatawaliwa ingefika wakati tungekuwa wamoja bila hata ya ubaguzi.
Pamoja na wingi wa rasilimali East Africa bado tunasaidiwa mpaka na nchi zenye rasilimali chache na hali ya jangwa kama Mexico
hii comment umeirudia sana karibu kila Uzi hizo ni tabia za kikemzee hapo chalinze tu watu wanakunywa maji bwawa moja na ng'ombe, au nenda handeni, nenda jimbo la mwigulu....
usihadithiwe, we nenda katazame!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww sema tanzania tumejaliwa hali ya hewa nzuri kuliko kenya.Waters supply in Tanzania is way better in comparison to Kenya.
Kwani huko Kenya Raisi ndie anapeleka mvua?