Hii picha ina Maana Gani kwa Kinachoendelea Ngorongoro?

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803

Huyu Mtalii kavaa kimasai inaonekana anafurahia pia kuwa karibu na wamasai ,Nini maana Je wamasai ni sehemu ya utalii walipaswa kuachwa?

Na kama wakiondoka je itapunduza watalii wanaokuja kwa Ajili kuwaona na kuvaa hizi Nguo?
 
Huyo si mtalii, huyo amefurahi kuutambua ukoo wake uliopotea miaka mingi.
 
Huyu msanii masai haendi salon na havai fulana ndani ya shati na hajipaki lotion akawa mrembo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…