Hii picha inafikirisha sana

Dunia ni njia...maisha ni safari...viumbe ni wasafiri...kwa kifupi tupo safarini
 
Mara zote nikikiwaza sana kifo huwa nahisi kujitisha tu.

Ila yote kwa yote hakiepukiki na wala hakikwepeki kikubwa kila mmoja kwa imani yake kufanya yale yaliyo amrishwa ili kuwa na mwisho ulio mwema.
 
Mara zote nikikiwaza sana kifo huwa nahisi kujitisha tu.

Ila yote kwa yote hakiepukiki na wala hakikwepeki kikubwa kila mmoja kwa imani yake kufanya yale yaliyo amrishwa ili kuwa na mwisho ulio mwema.
Ahsante binamu.. Hussna al-Khatema
 
Kama maisha ni Safari, Dunia ni njia na Watu ndio wasafiri...! Je tuna safiii kutoka wapi na tu naelekea wapi ??
As long as tuna mwanzo wetu na mwisho wetu jua tunasafiri...Sasa wapi tunatoka na wapi tunakwenda inategemea na Imani yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…