Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Hatuna Budi kujikita kwenye Ibada
ova
ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
now days wha lt we hear, we see and study all is fakeHatuna Budi kujikita kwenye Ibada
ova
I blv. Kufa no raha sana... unalala wee bila kuamka !!kifo sio adhabu
if some one able to see the future then this world is jumanji 😅I blv. Kufa no raha sana... unalala wee bila kuamka !!
Hatuna Budi kujikita kwenye Ibada
ova
Ahsante binamu.. Hussna al-KhatemaMara zote nikikiwaza sana kifo huwa nahisi kujitisha tu.
Ila yote kwa yote hakiepukiki na wala hakikwepeki kikubwa kila mmoja kwa imani yake kufanya yale yaliyo amrishwa ili kuwa na mwisho ulio mwema.
Tuko pamoja binamu. 🙏🙏Ahsante binamu.. Hussna al-Khatema
Kheri za Mola zikufikie..Tuko pamoja binamu. 🙏🙏
Kwakuwa mwanzo haukuwepo na ukawa basi kuna siku hautakuwepo.
Kifo ni jambo la kawaida sana kama kuzaliwa. Uzuri ni kuwa ukishazaliwa unafahamu kabisa kuwa utakufa muda wowote.
Jiandae kwa safari muda wowote.
Dunia ni njia...maisha ni safari...viumbe ni wasafiri...kwa kifupi tupo safarini
As long as tuna mwanzo wetu na mwisho wetu jua tunasafiri...Sasa wapi tunatoka na wapi tunakwenda inategemea na Imani yako mkuuKama maisha ni Safari, Dunia ni njia na Watu ndio wasafiri...! Je tuna safiii kutoka wapi na tu naelekea wapi ??
As long as tuna mwanzo wetu na mwisho wetu jua tunasafiri...Sasa wapi tunatoka na wapi tunakwenda inategemea na Imani yako mkuu
ila naskia et idadi ya papuchi unazochakata ndo miaka yako ya kuish
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app