Nyamkomogi
Member
- Mar 14, 2014
- 25
- 7
Bila shaka huyo ni msanii TECNONimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025.
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
Kagua vizuri sana simu yako sometimes inakua na virus ambavyo vinaweza kuathiri simu yako kwa style hiyo unakuta umepiga picha Tarehe 18,03,2025 unakuta picha yake inaonyesha ya Tarehe 30, 01,2030 ni virusi hivyo huweza kuathiri mfumo wa software 😌Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025.
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
Nunus simu TATAHiyo hapo
OkKagua vizuri sana simu yako sometimes inakua na virus ambavyo vinaweza kuathiri simu yako kwa style hiyo unakuta umepiga picha Tarehe 18,03,2025 unakuta picha yake inaonyesha ya Tarehe 30, 01,2030 ni virusi hivyo huweza kuathiri mfumo wa software 😌