Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment hii umenikumbusha mbali sana.....Mzee wetu wa jirani alikuwa na maneno machafu kama hayo...Kuna siku alimwambia mwanawe, wee kama isingekuwa ile bia ya mwisho....usingekuwepo hapa saa hizi....Dah kaazi kweli...... wa huku mjini ukiwauliza anakwambia bwana eee nilikuwa kwenye starehe zangu ndio ukapatikakana wewe wala sikupanga