Mwazange JF-Expert Member Joined Nov 16, 2007 Posts 1,056 Reaction score 82 Apr 17, 2010 #22 Fredwash said: ... wa huku mjini ukiwauliza anakwambia bwana eee nilikuwa kwenye starehe zangu ndio ukapatikakana wewe wala sikupanga Click to expand... Comment hii umenikumbusha mbali sana.....Mzee wetu wa jirani alikuwa na maneno machafu kama hayo...Kuna siku alimwambia mwanawe, wee kama isingekuwa ile bia ya mwisho....usingekuwepo hapa saa hizi....Dah kaazi kweli...
Fredwash said: ... wa huku mjini ukiwauliza anakwambia bwana eee nilikuwa kwenye starehe zangu ndio ukapatikakana wewe wala sikupanga Click to expand... Comment hii umenikumbusha mbali sana.....Mzee wetu wa jirani alikuwa na maneno machafu kama hayo...Kuna siku alimwambia mwanawe, wee kama isingekuwa ile bia ya mwisho....usingekuwepo hapa saa hizi....Dah kaazi kweli...