Hii picha ukutani na hilo jina kwenye simu vinanichanganya

Ngai Moko

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,301
Reaction score
1,738
Kutoka kwa mwana ubongo fleva Omary Nyembo, nipo napita yutubu nakutana na kideo cha mwanamuziki huyu ila kilichonishangaza ni ile picha ukutani na kilichonichekesha ni ule mjina aliousave mdada kwa simu yake.
Wadada wakimchoka mwanaume na mwanaume kuwa msumbufu huwa wanatumia majina ya ajabu sana.
 
Picha iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…