Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,301
- 1,738
Kutoka kwa mwana ubongo fleva Omary Nyembo, nipo napita yutubu nakutana na kideo cha mwanamuziki huyu ila kilichonishangaza ni ile picha ukutani na kilichonichekesha ni ule mjina aliousave mdada kwa simu yake.
Wadada wakimchoka mwanaume na mwanaume kuwa msumbufu huwa wanatumia majina ya ajabu sana.
Wadada wakimchoka mwanaume na mwanaume kuwa msumbufu huwa wanatumia majina ya ajabu sana.