Anzisha mkuu.....Duh, hiyo ardhi hapo nyuma imenona hatari. Vijana tulioko mjini itabidi tujitafakati na turudi vijijini, kuna utajiri wa kutisha!. Tumeng'ang'ania Dar tu!.
Upande wa pili wametuletea ugonjwa....Jicho la tatu;
Anaenda kuonesha mabwanyenye wenzie vile anajali black matter lives
Amechukua vipimo namna ya kuvuna maliasili kwenye huo mlima ili aongeze utajiri wake huku akileta misaada ya chandarua
Wale maintelejinsia waje waendeleze kuhusu zile 7 families zinazoendesha dunia.
It’s more than posing with low life people....(3rd eye)
Marehemu Mugabe alisema walipofika Zimbambwe waliwapa Bible na kuwaambia wafunge macho na wasali kwa bidii. Walipofungua macho wamebaki na Bible mzungu amechukua ardhi.Upande wa pili wametuletea ugonjwa....
ie corona
kisha wanaleta na misaada.
hakuna watu wanafiki kama wazungu
Mnashindwa nini na ninyi kuwapelekea magonjwaUpande wa pili wametuletea ugonjwa....
ie corona
kisha wanaleta na misaada.
hakuna watu wanafiki kama wazungu
Mnashindwa nini na ninyi kuwapelekea magonjwa
Kama ulivyomzembe wewe umebaki kulalamika tu!Nchi zinazoendelea ni mambumbumbu yasiopenda kujitoa!Huwezi kufanikiwa kwa kuwa mzembemzembe
Nimeishi maisha haya kwa 99.1%
View attachment 1523585
Kama suala ni visa tuwanyime visa wasije huku pia.Vinginevyo tuache lawama.Tunalaumu halafu tunawaomba waje kutalii ,tena tunasema hatutawaweka quarantine kina Kigwangala wanasema hawawezi kuwazuia maana nchi inategemea utalii.Hadi wakupe visa ya kuingia nchini mwao watahakikisha hata ukibeua huleti vinasaba vya dengue.
Mwizi hakibaligi kuibiwa.
Kama suala ni visa tuwanyime visa wasije huku pia.Vinginevyo tuache lawama.Tunalaumu halafu tunawaomba waje kutalii ,tena tunasema hatutawaweka quarantine kina Kigwangala wanasema hawawezi kuwazuia maana nchi inategemea utalii.
Tutaanzaje mkuu wakati Umomi katutoka.?Umomomiiiii fufuka mwana tusaidieeeeAnzisha mkuu.....
anza tukuige