Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Huyo mama hata hamjui huyo nani, Wala hajiangaishi anajua lizungu tuu limekuja kutembea.
Acha kutudharau wenye vitambi,kila mtu ajali mambo yake,Mimi sina kitu lkn nimeridhika na hali yangu, hivyo nina amani tele ktk roho yangu.Asante Mungu kwa kunipa moyo wa kuridhika na nilivyo.Huyo Bilgate hongera zake kwa kuwa tajiri mkubwa.Hana kitambi kabisa.....
sasa uwakute kina nanii
kicheo kidogo tu tumbo hilo ka mpira linakuwa furushi la kutunzia maji taka!
Hyo picha kumbe imejieleza ni wapi hapo? Maana naona tayari lawama kW ccm zimeanza je! kma picha ni kutoka Uganda.....Dah, Watoto wamekata tamaa kabisa, CCM ina dhambi isiyosameheka.
Usisahau na simu uliyonayo,viatu ,suruali ,shati na chupi uliyovaa,vyote wametuletea wao,hilo halikwepeki,vinginevyo tuvue nguo na vitu vyote walivyotuletea tuludi polini walipo tuokota.Upande wa pili wametuletea ugonjwa....
ie corona
kisha wanaleta na misaada.
hakuna watu wanafiki kama wazungu
Kauli ya mkosaji tu hiyo , hakuna asiependa maisha mazuriAcha kutudharau wenye vitambi,kila mtu ajali mambo yake,Mimi sina kitu lkn nimeridhika na hali yangu, hivyo nina amani tele ktk roho yangu.Asante Mungu kwa kunipa moyo wa kuridhika na nilivyo.Huyo Bilgate hongera zake kwa kuwa tajiri mkubwa.
Sera mbovu za serikali, unalima halafu serikali ndiyo inakuja kukupangia bei na soko? Ndiyo maana walikata tamaa mzee..Hiyo familia Ina utajiri, ila haiuthamini utajiri wake wa rasilimali, wanaamini misaada ya Bill Gates itawawezesha kuufikia utajiri
Wazungu wana mapunguvu yao ila sisi waafrica kwa upumbafu wetu tunatafuta uchochoro wa lawama tunawatupia wazungu...Marehemu Mugabe alisema walipofika Zimbambwe waliwapa Bible na kuwaambia wafunge macho na wasali kwa bidii. Walipofungua macho wamebaki na Bible mzungu amechukua ardhi.
Mnakuwa na viburi na dharau sana watu wa namna yenu...Acha kutudharau wenye vitambi,kila mtu ajali mambo yake,Mimi sina kitu lkn nimeridhika na hali yangu, hivyo nina amani tele ktk roho yangu.Asante Mungu kwa kunipa moyo wa kuridhika na nilivyo.Huyo Bilgate hongera zake kwa kuwa tajiri mkubwa.
Nani aliyekudharau??.Mnakuwa na viburi na dharau sana watu wa namna yenu...
Hbr za Katerero Mr.Mganyizi?.Kauli ya mkosaji tu hiyo , hakuna asiependa maisha mazuri
Amani,Muheza ushawahi fikaHapana, ni Lushoto na ni karibu na shule huko vijiji vya kina the makambas
Sio ww wenye vitambi bubu...Nani aliyekudharau??.
Sio lushoto ni muheza usiwe mbishi kijiji kinaitwa kicheba alikuja kwenye project ya mabusha na matendeHapana, ni Lushoto na ni karibu na shule huko vijiji vya kina the makambas
Ili Beberu kwanini halikwenda manzese kwa mfuga mbwa!?Hiki kijiji kinaitwa kicheba kipo wilayani Muheza ,ardhi yake ni maarufu kwa kilimo cha mihogo aina ya kibanda meno
Weka proofs kwamba wazungu walituokota porini.Usisahau na simu uliyonayo,viatu ,suruali ,shati na chupi uliyovaa,vyote wametuletea wao,hilo halikwepeki,vinginevyo tuvue nguo na vitu vyote walivyotuletea tuludi polini walipo tuokota.
Kwa kumtazama tu huyo mtoto kulia kwa Bill Gate anaonekana ana akili sanaView attachment 1523576
Niliwahi kuona nyumba ya Bill Gate kwenye TV documentary, milango inafunguliwa kwa remote control na moja ya sebule Ina aquarium.
Leo anakuja kukaa na famila hii, nyumba za nyuma ya picha ni dhahiri ndiyo uhalisia wa makazi ya familia hii.
Nyuma ya hii picha kuna uoto mzuri wa kijani. Ni dhahiri mvua huwa zinayesha mara kwa mara. Utajiri wa ardhi ulioko nyuma ya picha hii ungeweza kuwakomboa watu wa eneo hili kutoka maisha wanayoishi sasa.