Hii picha ya Bill Gates na familia nchi zinazoendelea imenitafakarisha sana

Ukisikia Afrika ni masikini ni pamoja na umasikini wa fikra au akili.
 
Watu wenye pesa waigizaji sana.

Huyu jamaa me si mfuasi wake, lakini kuna teli moja nilowah isikia kwamba, jamaa anavaa kama mjeda ama polisi.

Kwamba hiyo rangi ya mavazi yaje ni kama ana haki miliki nayo,kila akivaa shati lazima liwe la rangi hiyo pamwe suruali.
Sasa sijafuatilia sana kujua ukweli huo.
 
Kwenye paragraph ya mwisho nilivyoelewa kama unataka kusema hiyo
familia ni wavivu! kama hivyo ndivyo sisawa
 
Kwenye paragraph ya mwisho nilivyoelewa kama unataka kusema hiyo
familia ni wavivu! kama hivyo ndivyo sisawa
Kuna jamaa alifungwa jela Ulaya, alipotoka hakutaka kukaa tena Ulaya alenda kwao Ghana. Anasema alipofika tu jela aliulizwa anachopenda kufanya, aliwaambia anapenda kulima.

Kwenye kilimo unaanza kuangalia udongo wa sehemu ulipo unastawi nini. Alilima vitunguu, ajifunza kuwa kuna aina 400 za vitunguu duniani. Alijifunza magonjwa ya vitunguu na dawa za kutibu.

Aliona majembe ya mkono yanayotumia diesel. Unaweza kulima hekari moja kwa siku.

Hii ndiyo aina ya misaada jamii ya familia hii ingepewa.
 
Yap
 
Hapo ndo unakosea Sky,hiyo picha Bill Gate ameipiga juzi hapo yuko Moshi vijijini huko. Ye ana mambo yake anajua mwenyewe awapige mabwanyenye wenzie.
Maisha yetu ni hayo anyway,ila jamaa mtaji anaupika hapo.
FoCus.
 
Hana lolote kutaka kuonekana kama anajali naye?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…