Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Ila wabongo wananiachaga hoi hapo tu!! Wanaguswa sana na maisha binafsi ya watu kuliko umasikini wao!
Umejuaje sasa, ndo maan Taifa haliendelei kutwa kuwaza maisha vitu visivyo na msingi kwa maslahi ya umma. Non Sense
 
Duh[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Aiseeeeee
Kwahiyo wewe ikiwa mtu kaamua kufanya kitu kwa utashi wake mwenyewe wewe huna shida kabsaaaaa........kiufupi haikuhusu?
Haijalishi ni kitu gani ilimradi hakikuathiri wewe

Mkuu ulikua una bisha na chakula... ndio maana anasema hawezi ongeza chochote isitoshe kusema huyo cocastic ni chakula piaa...
 
Eeh nitafirwa tena sanaaaa, si nimepata hamu, raha zangu why not?

Watu walipata tabu sana kukuelewa na kwanini unamtetea pasi kujua wewe ni miongoni mwa kondoo wa bwana tulio wapoteza....... Si ungeenda straight au ulikua hutaki kuji brand[emoji1787] chakula ya wana
 
Watu walipata tabu sana kukuelewa na kwanini unamtetea pasi kujua wewe ni miongoni mwa kondoo wa bwana tulio wapoteza....... Si ungeenda straight au ulikua hutaki kuji brand[emoji1787] chakula ya wana
Usiku kama huu unafukua nyuzi za ngono, mumeo kasafiri? Sema wadaka chozi wapo wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…