Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Hii picha ya Familia ya Saut Sol inathibitisha juu ya tetesi za mmoja wao kushiriki mapenzi ya jinsia moja?

Picha hii imewekwa kwenye akaunti yao ya Twitter huku wakiweka caption isomekayo Sauti Sol Family.

Maswali yameibuka kuwa mbon akuna Mwanaume na Mwanaume je nao ni wapenzi kama hao wa jinsia tofauti?

Kwa muda mrefu zimekuwepo taarifa za mmoja wa wanakikundi hiki cha muziki kutoka Kenya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Bwabwa hii mbaya eee.. +254 kazi kwenu...
 
Mkuu ulikua una bisha na chakula... ndio maana anasema hawezi ongeza chochote isitoshe kusema huyo cocastic ni chakula piaa...
Eboooooh khaaah wee vipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tandika risasi huyo kenge, muziki utamshinda sasa asubiri kuolewa tu
 
Safiri hii wafadhili wametoa mpunga mrefu sana ku promote ushoga naona hata kule Twitter kumechafukwa mnoo. Mambo kama haya ni yakupigwa vita katika jamii yetu hivi tunaenda wapi jaman baada ya miaka 10 hiki kizazi chetu kitakuaje
 
Inasikitisha sana kuona wanaume

wanatetea ugasho mpaka mishipa ya

shingo inawasimama...

Yan mtu yupo serious kabisa kutetea

upuuzi.
 
Back
Top Bottom