Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Picha ya mwanamuziki wa nyimbo za mduara nchini, Shilole Mohamed aka SHISHI BABY iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii kama Insta.

Na kuwaacha mashabiki midomo wazi wakijiuliza kama huyu ni Shilole wa Igunga au Rihhana, kutokana na muonekane wake HOT n SEXY kama binti wa chuo.

Ulimbukeni unampeleka vibaya huyu binti!
 
My cuzzo Ntakasi njoo uku umuone mtoto shilole dah ni shidaa
 
Last edited by a moderator:
Kiruuu..kweli hyo inaitwa nakomaa na jijiii
 
Akihojiwa na Salama wa ch 5 aliwahi kusema hawezi kuvaa bikini kwasababu ya mtoto wake. Imekuwaje tena?
 
Ila kapendeza ingawa ana watoto usingesema shilole unaweza sema riri
 
Ila kapendeza ingawa ana watoto usingesema shilole unaweza sema riri

Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu
 
mimi namuonaga mshamba wa maisha tu na kujisemea mwenzangu zile stage alizoruka ndio anamalizia angalau ishakuwa jioni......!? kutoka msichana mpaka mama.
 
Akihojiwa na Salama wa ch 5 aliwahi kusema hawezi kuvaa bikini kwasababu ya mtoto wake. Imekuwaje tena?

katika maneno elfu atakayoongea shilole amini moja tu
mi nimemfatilia sana interview zake kipindi anaanza kujulikana moja nakumbuka alifanya na gazeti la risasi akasema amezaliwa 1986 na mambo mengi mengi tu
baada ya km miaka miwili kazaliwa1988 na akadai alibakwa jamani!
Toka hapo simuamin tena na ile ya kolabo na jlo ndo kabisa yaani!
 
Mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano Wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu

Kiukweli ana muonekano wa kistaa na anajitahidi ku ji maintain yani unaweza kufikiri hakai bongo ingawa ana watoto lakini ame rock
 
Mastaa wengi wakibongo wanapenda kujidogolisha sijui ili nini miaka yao inarudi nyuma kila interview huwa anabadilika tu
 
Kiukweli ana muonekano wa kistaa na anajitahidi ku ji maintain yani unaweza kufikiri hakai bongo ingawa ana watoto lakini ame rock

Katisha sana aiseeh kavaa bikin but she looks sexy , mwambie mama ubaya apige picha na bikini kama hatujakimbiana humu alivyoaribika na michrizi kibao , na apo kazaa duh mziwanda anafaidi kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…