Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Katisha sana aiseeh kavaa bikin but she looks sexy , mwambie mama ubaya apige picha na bikini kama hatujakimbiana humu alivyoaribika na michrizi kibao , na apo kazaa duh mziwanda anafaidi kweli
Mama ubaya hawezi thubutu kupga hvo ana ubavu mikorogo imemharibu ukichangia na michirizi labda ameintain kitu ambacho kigumu shishi kajitahid kumaintain body