Hii picha ya Shilole ni shidaaa kama Rihhana

Katisha sana aiseeh kavaa bikin but she looks sexy , mwambie mama ubaya apige picha na bikini kama hatujakimbiana humu alivyoaribika na michrizi kibao , na apo kazaa duh mziwanda anafaidi kweli

Mama ubaya hawezi thubutu kupga hvo ana ubavu mikorogo imemharibu ukichangia na michirizi labda ameintain kitu ambacho kigumu shishi kajitahid kumaintain body
 
shilole mzuri sana anavutia afu anajua kumaintain mwili wake
 
Nimemuona My Cuzoo.....Mziwanda Anajiongopea Tu Hapa.....Shishi Wa 'Wenyewe' Huyuuu....Riri Swag....Teh..

Mke mtarajiwa Wa mwafulani huyo ,naona anajiandaa na maisha ya ndoa
 
Jamvi la wageni hilo,kila msanii wa kiume anayejifunza kutoka na mastaa wa kike anapitia hapo.
 
Mbona kama sio yeyee ,,na wema apige hivyo na hivi ta.ko lake halieleweki lo sijui litakaajee
 
mimi mwenyew nilijua ka edit, ana muonekano wa kistaa tena kimbele mbele uko ,sema mwenzetu na sie mziki wake+akili zake# na huu muonekano ,apo kanaonekana kama katoto ka masaki kumbe katoka igunga na mitoto juu
mtumee
 
Hapo c amevaa vazi la swimming wadau na ypo kwa pool au hamuoni?mbna maneno mobb hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…