Hii piki piki tatizo nini?

See it
 
Daah kama pkpk yangu hata starter haipgi hata nitembee umbali mrefu
Inategemeana na battery au nyaya na je ukitembelea ukiwa umewasha taa pind uvutapo moto inawaka upunguzapo inapunguza mwanga? Njibu then twendelee
 
Yaaaaan kuna watu wantumia oil kwa kuhesabu kilometre

Mkuu hata hii Boxer yangu kwenye manual yake ndo maelekezo waliyotoa..unatakiwa kubadil Oil kila baada ya Kilometer fulani.
 
Maaana unaweza kuta kama mahara pa kaz ni milima kibao always pkpk hutumia nguvu kubwa na mzunguko wa vyuma na oil huwa mkubwa na waweza kuta speed yako ni 90 au 80 kwa kila mwendo wako nat per hours mzunguko na mchafuko wa oil huwa mkubwa so jitahid na mwendo na mzunguko wako ila aproxmation kwa mizunguko ya kawaida ni two weeks ila ka speed ni kubwa na mizunguko miiiiing weka one week en kama watumia oil tumia aina moja tuuu kwa ushaur
 

Thanks sana Mkuu.
 
Ungekuwa mbeya uyole ningekwambia ipeleke kwa Ambwene Lisyele kiboko ya boxer mbeya nzima.
 
Ukimpelekea fundi aiangalie magneto Hii Ndio huwa Tatzo kubwa Kweny pkpk Khs suala la moto hapo Sio betri wala wiring Kama magneto nzima aangalie lectfire
 
Cha kufanya wakati ikiwaka chomoa waya za battery tio battery nje kisha gonganisha waya zilizopo hapo swhwmu ya battery uone kana kuna moto?
Kugonganisha waya sio sahihi kinachoweza kufanyika ni kuunga balbu ya volt 12 ili kuona kama kuna moto.
 
Ukimpelekea fundi aiangalie magneto Hii Ndio huwa Tatzo kubwa Kweny pkpk Khs suala la moto hapo Sio betri wala wiring Kama magneto nzima aangalie lectfire
Tena hiyo betri usiitupe ni nzima. Nimekaa na boxer miaka minne yaani ikileta hitilafu usikurupuke kuifungua bila kuwa na uhakika wa tatizo utaitupa muda si mrefu. Ni pkpk imara. Hazitaki papara ikiharibika.
 
Ikianza matatizo mengi hivyo IUZE kama mm. Utaingia hasara sana, uza hata kwa bei ya chini uachane na stress, watakula pesa zako tuu, hakuna mafundi wa pikipiki wakweli
 
Ukimpelekea fundi aiangalie magneto Hii Ndio huwa Tatzo kubwa Kweny pkpk Khs suala la moto hapo Sio betri wala wiring Kama magneto nzima aangalie lectfire
Kuna maelkezo kpewa ajibu kwanza ndipo asaidiwe shda yake tatzo mafund wengi alouliza swala la starter nimemuulza swal anijibu kwanza
 
Wakuu nashukuru kwa msaada wenu,baada ya kununua battery mpya ikaja kuzngua sku ya 4 kwa hasira nikaitoa nkaweka distilled water ile ya zaman then kuna kle kidude kinachotoa waya 2 znazoenda kwenye battery kililegea nkakaza,namshukuru Mungu sasa hv inapiga starter kama zaman kwa battery ya zaman.
Funzo:Boxer ikizingua kitu usikurupuke ukanunua kingine huenda kuna tatzo dogo tu kama mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…