kelvin miho
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 281
- 134
Ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
See itNi sahih haiwez kamata silenc chain ikitight en oil huwa unabadil kwa muda gan, na unaweza kuta mda mwing unatumia speed kal sasa mznguko wa oil unakua mkubwa ubadiloshaj wake unatakiwa uwe wa siku chache na usipende kutumia kilometre za oil itakucost
Inategemeana na battery au nyaya na je ukitembelea ukiwa umewasha taa pind uvutapo moto inawaka upunguzapo inapunguza mwanga? Njibu then twendeleeDaah kama pkpk yangu hata starter haipgi hata nitembee umbali mrefu
Maaana unaweza kuta kama mahara pa kaz ni milima kibao always pkpk hutumia nguvu kubwa na mzunguko wa vyuma na oil huwa mkubwa na waweza kuta speed yako ni 90 au 80 kwa kila mwendo wako nat per hours mzunguko na mchafuko wa oil huwa mkubwa so jitahid na mwendo na mzunguko wako ila aproxmation kwa mizunguko ya kawaida ni two weeks ila ka speed ni kubwa na mizunguko miiiiing weka one week en kama watumia oil tumia aina moja tuuu kwa ushaur
Kugonganisha waya sio sahihi kinachoweza kufanyika ni kuunga balbu ya volt 12 ili kuona kama kuna moto.Cha kufanya wakati ikiwaka chomoa waya za battery tio battery nje kisha gonganisha waya zilizopo hapo swhwmu ya battery uone kana kuna moto?
Tena hiyo betri usiitupe ni nzima. Nimekaa na boxer miaka minne yaani ikileta hitilafu usikurupuke kuifungua bila kuwa na uhakika wa tatizo utaitupa muda si mrefu. Ni pkpk imara. Hazitaki papara ikiharibika.Ukimpelekea fundi aiangalie magneto Hii Ndio huwa Tatzo kubwa Kweny pkpk Khs suala la moto hapo Sio betri wala wiring Kama magneto nzima aangalie lectfire
Ikianza matatizo mengi hivyo IUZE kama mm. Utaingia hasara sana, uza hata kwa bei ya chini uachane na stress, watakula pesa zako tuu, hakuna mafundi wa pikipiki wakweliDah Mkuu kama ulijua kwa ushaur wako aisee,tatizo umechelewa na nishaenda kwa Fundi wa Mtaani hapa najuta.Alijidai anatengeneza tatizo mara katika kujaribu akaibua tatizo lingine akidai timing chain imekufa nikanunua nyingine akabadili hapo ndo tatizo likaanza,piki piki imekuwa slow mlimq mkali usipovuta sana mafuta inazima na imeanza kunywa mafuta balaa nkamrudishia ananiambia sijui adjuster nkaachana nae nikaenda kwa mtaalamu kuisikiliza tu inavyolia kanieleza tatzo sio timing chain ni piston zinatakiwa kubadil.Hapa najuta huku nimeweka piki piki ndani nikitafuta hyo hela ya piston na Fundi.
Kuna maelkezo kpewa ajibu kwanza ndipo asaidiwe shda yake tatzo mafund wengi alouliza swala la starter nimemuulza swal anijibu kwanzaUkimpelekea fundi aiangalie magneto Hii Ndio huwa Tatzo kubwa Kweny pkpk Khs suala la moto hapo Sio betri wala wiring Kama magneto nzima aangalie lectfire