Uko vizuri sana kwenye kutafsiri lugha ya pichaJamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code
Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini
Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
AmekudanganyaUko vizuri sana kwenye kutafsiri lugha ya picha
Mkuu hawa watu wanataka kujifariji unawapa tu moyo waendeleeAmekudanganya
Yaani kama tafsiri nyingine ya AKILI ni MAFANIKIO basi wewe mkuu huna mafanikio kabisa!Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code
Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini
Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kama tafsiri nyingine ya AKILI ni MAFANIKIO basi wewe mkuu huna mafanikio kabisa!
Hivi wewe inakuingikia akilini gsm watoe 2.1 bilioni kwa tff na wadhindwe kumpa khalid aucho mshahara?Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code
Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini
Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Huo mkataba ambao hawataki uhojiwe?Hivi wewe inakuingikia akilini gsm watoe 2.1 bilioni kwa tff na wadhindwe kumpa khalid aucho mshahara?
Hivi unajua gsm wamevunha mkataba wa chama kwa 1 bilion?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Inashangaza swala la akili nashauriwa na mtu wa utopolo kama weweYaani kama tafsiri nyingine ya AKILI ni MAFANIKIO basi wewe mkuu huna mafanikio kabisa!
Mkuu huyo n mtu mmoja,πNgoja tumuite KEROZENE na GENTAMYCINE
Ndio maana Akili zao zimefanaa..Mkuu huyo n mtu mmoja,π
Yani umeingia kwenye ubongo wa aucho na kuanza kumuwakilisha,dah[emoji41]Jamaa anajaribu kufikisha ujumbe kwa code
Tafsiri ya hiyo caption ni kwamba kwa yeye kutosema chochote kwa waandishi wa habari msimchukulie kwamba ni boya. Hiyo ni alarm ambayo inawatahadharisha muwe makini
Na msione kama kapotezea ila anawasitiri tu kuwafichia aibu, na msipomlipa mshahara wake hiyo jezi aliyoishika itakuja kuaibika
Hivi dalili za ulemavu wa akili zipoje?Ni kwamba zile kopa za kijani na njano (yanga), huwezi kulinganisha na Allah. Kwamba kwake yeye aucho anamtanguliza Allah kuliko klabu ya yanga.
Kwamba yanga waangalie vzr wamalizane nae vzr kadiri ya mkataba wake walivokubaliana ikiwemo bonus zake endapoatapafomu.
Ile imoji ya kushika mdomo kwa kidole ni ishara haongei isipokuwa wasubiri reaction.
Ile imoji ya mwisho anatega simba je wapo tayari kuitumia fursa kama ya morison?
NB; KUMBUKA MAPENZI YA AUCHO YAPO MSIMBAZI NI VILE TU ALIDANGANYWA HASINGEANZA MBELE YA CHAMA/LWANGA/MKUDE.
Kalagabao
kuna emoji hii π© na π¨ lkn jamaa akachagua hii [emoji172] na [emoji169] bado unatuambia ana mapenzi na Simba?Ni kwamba zile kopa za kijani na njano (yanga), huwezi kulinganisha na Allah. Kwamba kwake yeye aucho anamtanguliza Allah kuliko klabu ya yanga.