Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

Mimi nilichokiona ni kama kawajibu wahandishi wa habari kwa swali aliloulizwa... kusema "No Lies" maana yake alichoulizwa ni kweli.
 
Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
Hivi kumbe ndo niliandika hivi? Ndo nimerudia muda huuu nadhani mlinielewa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbona nyie mnajisemea kuwa Chama anakuja Simba?.kwahyo watu wakisema anakuja Simba mnavimbaaaa
Akuna anayevimba...ni swali tu limeulizwa.


Ukiishughulisha akili yako unaweza kupata jawabu.

Ya Chama achana nayo maana kama anayemtaka ameweza kumwaga mpunga wa Bilioni 2 kwwny Ligi sidhani kama atashindwa kushindana kifedha kwenye sakata la Chama ukizingatia Ibenge ana mtaka Mukoko.
 
ulichoandika kimenifikirisha sana.
 
Well said mkuu
 
Maskini mjuba anaagana na nembo yake ya Gsm haamini lakini ndicho kinachomkuta
 
...................................................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…