comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mimi nmeona Tu Mimi SIWEZI kumtukana DAKTARI sa100Ungechukua hata kavideo ka ushahidi.
Tutajuaje labda wewe ndio unatukana hayo matusi kimoyo Moyo?
Mnahangaika!!Mimi nmeona Tu Mimi SIWEZI kumtukana DAKTARI sa100
Mimi na Nani?Mnahangaika!!
Unayazungumziaje haya madai ya hao akina Mama? Yana ukweli wowote au wanapotosha?Mimi nmeona Tu Mimi SIWEZI kumtukana DAKTARI sa100
Machakubimbi wenzioMimi na Nani?
Nadhan ulikua unania ya kucomment kwenye group lenu la WhatsApp la wamama WA vikoba umekosea umekuja hukuMachakubimbi wenzio
Lipeni Kodi, Rwanda hadi wa Brush viatu wanalipa kodi, Watanzania mnataka free sanaSikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia.
Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya nguoni Kwa Daktari Samia wakidai deni la taifa linawatesa wao na hawajafaidika na hizo pesa zilizokopwa.
2025 ngumu Sana hii, halimbaya mtaani.
Inashangaza kulipa Kodi?Inashangaza sana
Inashangaza kulipa Kodi?
samiha out.Sikujua kama wanakabia juu Hadi Kwenye mitaa ambayo sio ya kibiashara, mfano MTU kajenga nyumba mbele kaweka frem ndogo na haipo karibu na barabara kuu IPO mbali kabisa, lakn wanakimbizana na Raia.
Leo nmeshangaa Sana wamama wanaokimbilia ndani huku wakifunga biashara zao wakitoa matusi ya nguoni Kwa Daktari Samia wakidai deni la taifa linawatesa wao na hawajafaidika na hizo pesa zilizokopwa.
2025 ngumu Sana hii, halimbaya mtaani.
Shida SIO kulipa, hizo hela zinatumiakaje?Lipeni Kodi, Rwanda hadi wa Brush viatu wanalipa kodi, Watanzania mnataka free sana