Hii project yenu Yanga ya kuumiza wachezaji wa Simba haitawasaidia

Nafuatilia uzi huu naona asilimia kubwa wanaochangia ni kama wake wenza na bwana yao amesusa kulala kwao wiki ya pili sasa.
Malizaneni kwanza na mabwana zenu kisha mje hapa mkiwa na akili zenu timamu
Wenzio wanaongelea mpira wewe unaleta habari za mabwana. Sijui we ni ME au KE
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Yanga walimlipa na James Akaminko amuumize Skudu? Je, walimlipa na yule jamaa wa Namungo aliyemuumiza Lomalisa?

Hebu acha propaganda nyepesi. Mpira wa miguu sio tenes au pool table, kuumia kupo.
 
Mchezaji wenu wa zamani Hajji Ugando 😀😀
1683961993731.png
 
Nafuatilia uzi huu naona asilimia kubwa wanaochangia ni kama wake wenza na bwana yao amesusa kulala kwao wiki ya pili sasa.
Malizaneni kwanza na mabwana zenu kisha mje hapa mkiwa na akili zenu timamu
Wake wenzio ndio wapo hivyo?
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Kweli Mbumbumbu ni Mbumbumbu siku zote hata kama ataweza kutumia smartphone
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma ya Coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa, moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji. Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
Ugando kapokea Tsh 20,000,000/- kwa kazi chafu aliyoifanya jana,Yanga wana ushetani mwingi sana. Hata comments zao humu juu ya kuumizwa Inonga zinathibitisha kuwa ni watu waovu sana. Anayefuata kwenye hii project ni Baleke,muumizahi ametengewa m 50.
 
Cashman inaonekana Mpira umeanza kushabikia baada ya Simba kuingia makundi ???? Huyo aliemchezea rafu inonga baka unajua kama kakulia hapo Simba b na Simba kindaki ndaki.

Yupo coastal ni kwa sababu ni mtu WA Tanga tu na Simba walimtema ndio akatafuta maisha huko.??????

Nyie vijana acheni kuleta Mada zisizokuwa na kichwa Wala miguu.......!
 
Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.

Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma ya Coast kuhakikisha inapata ushindi.

Hawa under cover waliosemwa, moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji. Hili huwezi kuliona kwa utopolo.

Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.

Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.

Mbaya sana hii
eti haitafanikiwa😳!!!!

haitafanikiwa wakati mtu kavunjwa mguu na yupo hospitali?

ni fikra dhaifu mno kufiri namna hiyo kwenye football.
 
Hii m20 aliyolipwa Haji Ugando ni ndogo alitakiwa apewe 50m kabisa kama.iliyowekwa kwa atakayemvunja mguu Baleke, huyu Ugando hadi kapasua shinguard kabisa.
FB_IMG_1695359986985.jpg
 
Back
Top Bottom