Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Wenzio wanaongelea mpira wewe unaleta habari za mabwana. Sijui we ni ME au KENafuatilia uzi huu naona asilimia kubwa wanaochangia ni kama wake wenza na bwana yao amesusa kulala kwao wiki ya pili sasa.
Malizaneni kwanza na mabwana zenu kisha mje hapa mkiwa na akili zenu timamu
Ko lomalisa akiumizwa, bas na Inonga aumizwee?Lomalisa Jana kaumizwa hukuna lililosemwa,. Inonga Leo kaPigwa maneno mengi namna hii.
Yanga walimlipa na James Akaminko amuumize Skudu? Je, walimlipa na yule jamaa wa Namungo aliyemuumiza Lomalisa?Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
Hivi kwa faulo kama ile,nani anaweza kuwa na utimamu wa mwili,mzee umeangalia kwanza faulo yenyewe??Hivi simba kuna kocha wa utimamu wa mwili?
Wake wenzio ndio wapo hivyo?Nafuatilia uzi huu naona asilimia kubwa wanaochangia ni kama wake wenza na bwana yao amesusa kulala kwao wiki ya pili sasa.
Malizaneni kwanza na mabwana zenu kisha mje hapa mkiwa na akili zenu timamu
Kweli Mbumbumbu ni Mbumbumbu siku zote hata kama ataweza kutumia smartphoneKila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa coastal,kuna watu undercover walikuwa nyuma ya coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa,moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji.Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
Ugando kapokea Tsh 20,000,000/- kwa kazi chafu aliyoifanya jana,Yanga wana ushetani mwingi sana. Hata comments zao humu juu ya kuumizwa Inonga zinathibitisha kuwa ni watu waovu sana. Anayefuata kwenye hii project ni Baleke,muumizahi ametengewa m 50.Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.
Kwa mujibu wa msemaji wa Coastal, kuna watu undercover walikuwa nyuma ya Coast kuhakikisha inapata ushindi.
Hawa under cover waliosemwa, moja ya kazi chafu ni kuwalipa wachezaji wapuuzi kufanya chochote kuumiza wachezaji. Hili huwezi kuliona kwa utopolo.
Nadhani kwa hii project haitawasaidia katika safari yenu ya kuzitafikia records za mnyama na kuwa juu yake kimataifa.
Hili tukio la leo limefanyika maksudi ili kumtoa Henock Inonga kwenye mechi za kimataifa.
Mbaya sana hii
eti haitafanikiwa😳!!!!Kila msimu kumekuwa na wachezaji kutoka timu ndogo wanaoonekana wametumwa kwa kazi maalum ya kuumiza key players pale Simba.