Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

Poleeeeeh wee vee kajua kuwakomesha haters wake, Pete iko kidoleni soon ndoa.
Vipi unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anateseka akiwa madongo kwinama huko,

Kumuongelea ex ni kumpa nafasi ya kutawala ubongo wako sifanyagi huu ushuzi, jux anaumizwa sana na mahusiano ya vanesa
Poleeeeeh wee vee kajua kuwakomesha haters wake, Pete iko kidoleni soon ndoa.
Vipi unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2
 
Unateseka ukiwa wapi? Poleeeeeeh sana.

Wewe unaona kuna ndoa hapo!

Huyo binti ndo anateseka kuliko unavyodhani, she’s giving in everything it takes kuwaonesha wabongo kuwa ameokota dodo.

Hadi kummezesha vimaneno vya Kiswahili bwan’ake ili tu muone anapendwa.

She’s so desperately obsessed, siku akiachwa asijidhuru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…