Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39] Ni mara chache Sana mwanamke akamkomesha mwanaume kwenye mahusiano , na wakiachana hapo looser ni vee mana anazidi kuzeeka na soko linamtupa mkono.... Alaf kudate na mdada ambaye Hana chura hata ya kuibia ibia, nacho ni kipaji....
Poleeeeeh wee vee kajua kuwakomesha haters wake, Pete iko kidoleni soon ndoa.
Vipi unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anateseka akiwa madongo kwinama huko,

Kumuongelea ex ni kumpa nafasi ya kutawala ubongo wako sifanyagi huu ushuzi, jux anaumizwa sana na mahusiano ya vanesa
Poleeeeeh wee vee kajua kuwakomesha haters wake, Pete iko kidoleni soon ndoa.
Vipi unateseka ukiwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2
 
Unateseka ukiwa wapi? Poleeeeeeh sana.

Wewe unaona kuna ndoa hapo!

Huyo binti ndo anateseka kuliko unavyodhani, she’s giving in everything it takes kuwaonesha wabongo kuwa ameokota dodo.

Hadi kummezesha vimaneno vya Kiswahili bwan’ake ili tu muone anapendwa.

She’s so desperately obsessed, siku akiachwa asijidhuru tu.
 
Back
Top Bottom