Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

Hii punchline ya Jux kwenye wimbo wa Rayvanny Lala...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Ni ngoma flani laini iko fresh tu lakini nimechoka pale Jux ule mstari anasema:

"Vanessa wanini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock block"...

Hapa naona kama hakutumia hekima kwa maana kama r/ship yao iko over na Vee Yuko na yule mwamba Rotimi sijui, na yeye afanye yake. Anyways Ni ngoma nzuri.

 
Jux is loosing it
Nyimbo za zake za zamani zilikua bomba sana
 
Sasa huyo jux ana nini labda? Alichobakiza ni kumtaja taja Vanessa, atakuja kufa kwa pressure lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti naomba namba zako upenuni. Nashukuru.
 
Vee kamkomeshaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rotim shemeji wa kimataifa
 
Back
Top Bottom