Hii ramani itaweza kalisha tofali ngapi na shingapi kupandisha boma

Hii ramani itaweza kalisha tofali ngapi na shingapi kupandisha boma

Status
Not open for further replies.
Hakuna nyumba hapo zaidi ya banda la kufugia NJIWA. Ongeza ukubwa wa vyumba viwe angalau 3.5 ×4m na sebule liwe angalau 4 x 4.5m kuliko sasa inavyoonekana kama korido tu.
 
Hello wadau kam kichwa kinavyojieleza hapo nilitamani kukua hii ramani itaweza chukua shingapi mpk kukamilisha boma m
Ramani ya nyumba haifai haivutii kwanza sebule ndogo kama stoo ila kwa nyumba standard aitakiwi kuwa hivyo cheki orientation ya choo .hapana aisee too narrow
Hello wadau kam kichwa kinavyojieleza hapo nilitamani kukua hii ramani itaweza chukua shingapi mpk kukamilisha boma tofali ngapi View attachment 1942721
 
Hello wadau kam kichwa kinavyojieleza hapo nilitamani kukua hii ramani itaweza chukua shingapi mpk kukamilisha boma tofali ngapi View attachment 1942721
Kwema ndugu.

Namba uwasiliane na Uvimo Group wataalam wa ujenzi tukupe tathimini ya kila kitu.

Namba za ofisi ni
0753927572 wasap
0629361896 kupiga
View attachment 1944672
IMG_20210916_154052_9.jpg
 
Mkuu kuna aina tofauti tofauti za living room/area...

Mfano kwa hiyo ya ramani ya jamaa , living room imebuniwa kwa mtindo unaitwa "gallery design"...huwa ni mfano wa korido kubwa...sio common sana kwa nchi za kibongo

Kitu pekee cha kumshauri hapo ni kwamba upande mmoja huu ilipo veranda badala ya kuweka mlango na dirisha basi aweke mlango mkubwa mithili ya milango ya fremu ili huohuo uwe ni mlango/dirisha...

Pia eneo la vyoo liongezeke kidogo kama anataka kuweka choo cha kukaa, akiweka choo cha kukaa atakosa eneo la kuogea...
... that's #1. Pili, Master Bedroom is the most private in a house. Huwezi kuweka living room just mlangoni pa master!
 
Kwema ndugu.

Namba uwasiliane na Uvimo Group wataalam wa ujenzi tukupe tathimini ya kila kitu.

Namba za ofisi ni
0753927572 wasap
0629361896 kupiga
View attachment 1944672View attachment 1944673
... hiyo beam, among other things, inashusha credibility yenu kama professional builders! Beam ilitakiwa iwe na kimo sijui upana sawa na tofali, imwagiliwe maji ya kutosha kwa muda wa kutosha (21 days), iwe na sementi ya kutosha. Hapo ilipo nikiiangalia ni mchanga tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom