Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo Uwanja una majini ya Yanga. Hata Mayele yalikuwa yakimsumbua!Wameamua kurudi wanaposemaga wamerogwa
Hata wewe unauliza swali kama hili?Hivi uwanja wa mkapa una shida gani hasa?
Wameupumzisha. Eti nyasi zinaoza haraka [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi uwanja wa mkapa una shida gani hasa?
Labda kombe la uji au kombe la ujingaTutahama mpka tuchukue kombe.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda lauji.Tutahama mpka tuchukue kombe.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanakhakha sana