J John Creasy Senior Member Joined Jul 27, 2023 Posts 176 Reaction score 298 Mar 10, 2024 #21 Aleyn said: Kwahiyo wameamua kuwafichia aibu Simba, kweli Simba mtoto wa TFF. Click to expand... Utamaliza bucha maini ni yaleyale! Vile vile fundi asiye na ujuzi hulaumu vifaa vyake.
Aleyn said: Kwahiyo wameamua kuwafichia aibu Simba, kweli Simba mtoto wa TFF. Click to expand... Utamaliza bucha maini ni yaleyale! Vile vile fundi asiye na ujuzi hulaumu vifaa vyake.
BUSH BIN LADEN JF-Expert Member Joined Mar 16, 2019 Posts 8,447 Reaction score 19,425 Mar 10, 2024 #22 Hawa jamaa kama nyumbu wa Serengeti na Maasai Mara
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Mar 10, 2024 #23 Mtini said: View attachment 2929707 Click to expand... Viongozi wasio na maono wanahangaisha Wachezaji. Mashabiki wakupiga kelele nao wanaitika.
Mtini said: View attachment 2929707 Click to expand... Viongozi wasio na maono wanahangaisha Wachezaji. Mashabiki wakupiga kelele nao wanaitika.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Mar 10, 2024 #24 Mahondaw said: Wanakhakha sana Click to expand... Weka ile picha ukinyonya vidole na macho yako mazuri hivi na nywele laini nimeimisi. Usimwite smart hapa
Mahondaw said: Wanakhakha sana Click to expand... Weka ile picha ukinyonya vidole na macho yako mazuri hivi na nywele laini nimeimisi. Usimwite smart hapa