Hii ratiba TFF wamemtengenezea Simba mazingira ya kuchukua ubingwa mapema kirahisi kabisa

Kwa maandalizi mazuri ya Simba alishajulikana ni bingwa kabla hata ligi haijaanza na bado kuna zaidi ya misimu mitatu mfululizo Mnyama atachukua ndoo.

Nyinyi endeleeni kuandaa majungu wakati Simba wanaandaa timu.
Simba nguvu moja.
 
Haiwezekan matches za Simba na title contenders ziwekwe kwa mazingira haya! Huu ni uhuni!View attachment 1789163
Nyie tatizo lenu mnaangalia mambo ya Simba badala ya kupigania hiyo nafasi ya pili,na kwa ujinga mnaondekeza hata Kombe la shirikisho hamchukui. Simba wakishinda mechi mbili tu bingwa endeleeni tu kulishana upepo. Hivi ule mpango wenu wa kuhamia Zanzibar uliishia wapi?
 
Nao kwann wameiweka match na Azam mwishon! Kweli hii ratiba mnyama anatengenezewa mbeleko!
Mngeshinda mechi zenu Huu upupu msingekuwa mnahangaika nao kwa sasa.tatizo mmeshindwa kichwa mechi zenu na wachezaji wenu magalasa now mnahangaika kutafuta sababu za kipuuzi kujifariji. Kama muda huu Ningekuwa mnaongoza pointu nyingi Simba hata angepangiwa kucheza hadi septemba isingewasumbua
 
Kwani hapo shida iko wapi? Angepangiwa kucheza na timu za daraja la pili ungekuwa sawa, sasa kama anacheza na timu zile zile wanazocheza nazo wengine upendeleo uko wapi!
 
Itachukua muda sana soka letu kuendelea ajabu kuna watu wanatetea humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…