Hii ratiba TFF wamemtengenezea Simba mazingira ya kuchukua ubingwa mapema kirahisi kabisa

Hii ratiba TFF wamemtengenezea Simba mazingira ya kuchukua ubingwa mapema kirahisi kabisa

Nyie tatizo lenu mnaangalia mambo ya Simba badala ya kupigania hiyo nafasi ya pili,na kwa ujinga mnaondekeza hata Kombe la shirikisho hamchukui. Simba wakishinda mechi mbili tu bingwa endeleeni tu kulishana upepo. Hivi ule mpango wenu wa kuhamia Zanzibar uliishia wapi?
Kaizer chief wanakuja,
 
Kaizer chief wanakuja,
Ubingwa upi wa tff na Simba Tanzania Kuna bingwa ? Ubingwa wa kuunga na super glue ndio maana mkienda nje mnapigwa za kutosha na timu yenye nafasi ya 10 kwao maana mpira wa bongo umejifia zamani Sana Ni vile mashabiki hatujui tuseme Nini uendeshaji wa ligi ya Tz Ni mbovu haijawahi tokea kabisa.
 
Lini nyie mlienda nje mlirudi na ushindi[emoji23][emoji23][emoji23] daah hizi stress jaman zitawaua bure ,yaan unavyoongea as if wewe hukawah kwenda nje na unavyoongea utadhan mlivyokuwa mnaenda nje mlikuwa mnarud na ushindi,kweli majuha hawaish hapa nchini ,huna jicho moja alafu unamcheka asie na kidole kimoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubingwa upi wa tff na Simba Tanzania Kuna bingwa ? Ubingwa wa kuunga na super glue ndio maana mkienda nje mnapigwa za kutosha na timu yenye nafasi ya 10 kwao maana mpira wa bongo umejifia zamani Sana Ni vile mashabiki hatujui tuseme Nini uendeshaji wa ligi ya Tz Ni mbovu haijawahi tokea kabisa.
Vipi yanga kucheza michezo minne mfululizo akiwa nyumbani je ushawah ona wapi hicho kitu kwenye hii dunia na kwenye ligi za wengine?

Yanga mnabebwa sana na tff alaf hamjui kama mnabebwa kazi yenu kubwa ni kuangalia upande wa Simba na kukosoa wakat hata nyie mnabebwa sana na tff ,je kwa huu ugoro wa yanga kucheza michezo minne akiwa nyumban unalisemeaje hili?
 
Shindeni mechi zenu zote mnakuwa mabingwa.
Nyie si mnajiita Un biten.
Mechi za Simba zinawahusu nini ?
Yaani mnafungwa na Coast Union mnakuja kulalamika humu kuhusu mechi za Simba.
Huyo Piston alisajiliwa na TFF ?

Nyie kweli ni Milalamiko FC
 
Mnyama anahitaji mechi 3 aa ushindi kutangaza ubingwa....

Nguvu Moja......
Na ndiyo maana tunalalamika kuna mbeleko, kati ya hizo match 3 za mwanzo na Azam walitakiwa wawemo umo...ila kwa vile Hans Pope kawaweka TFF mfukon, mmetengenezewa mazingira kwa kupewa mechi urojo za mwanzon ili mtangazwe mabingwa mapema!
 
Kwa hiyo Azam angeweza kumzuia simba asitangaze ubingwa.....?? Wewe kwa akili yako unaamini hatapata ushindi kwenye hizo mechi 3 kati ya mechi zilizobakia........tuchukulie Simba kafungwa na Azam,Yanga na Namungo bado ana mechi gani zingine.......???

Kila mtu ashinde mechi zake.......
 
ili Yanga awe bingwa inabidi Simba afungwe mechi 4 Yanga ashinde mechi zote. unaelewa hilo?
 
Back
Top Bottom