Hii record ya Yanga haiwezi kuvunja Tena Tanzania

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
MWAKA 1998 YANGA SC WALIFANIKIWA KUINGIA HATUA YA MAKUNDI CLUB BINGWA
YANGA WALIWEZA KUWEKA RECORD MATATA AMBAYO SIDHANI KAMA KUNA TIMU ITAKUJA KUIFIKIA
YANGA ILIWEZA KUWEKA RECORD YA KUFUNGWA JUMLA YA MAGOLI 25 hatua ya makundi walifungwa goli 19 angalia kwenye msimamo apo na hatua ya mtoano (awali) walifungwa goli 6 6+19=25 manake wastani kwenye kundi kila timu iliifunga Yanga magoli 6 yaani home na away.
Rekodi hi niyakipekee kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rekodi nyingine"Simba ndio timu ya kwanza mchezaji wao kusajiliwa kwa mkopo katika bendi ya Akudo Impacto akaongeze umahiri wa kukata mauno ili asipate tabu wakati wa kukutana na vumbi la kongo huyo si mwingine ni Zana Coulibaly"
 
@shadeeya njoo uku Kuna record kutoka maktaba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh. Nimekaa najiwazia tu Swahiba kwa mashindano gani anayoshiriki yanga mwaka huu mpaka ukaleta hizi rekodi zako?

Usitukane Mamba huku hujavuka mto. Yanaweza yasifikie idadi ya Yanga ila kwa Wingi wake na Kikosi chenu ikawa ni zaidi ya aibu mwenu. Tusubiri tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…