brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #41
Kwani kujua tulipotoka Kuna shida yoyote swahiba?Kujifunza ni labda tungekuwa kwenye mashindano ka hayo labda ndio mngeleta huu uzi kwamba tujifunze kwa makosa sasa hatuna mashindano yeyote ya Kimataifa rekodi hii ya kazi gani?
Leo una mwadui ujue alafu makambo hayupo
Sent using Jamii Forums mobile app