Hii record ya Yanga haiwezi kuvunja Tena Tanzania

Hii record ya Yanga haiwezi kuvunja Tena Tanzania

Kujifunza ni labda tungekuwa kwenye mashindano ka hayo labda ndio mngeleta huu uzi kwamba tujifunze kwa makosa sasa hatuna mashindano yeyote ya Kimataifa rekodi hii ya kazi gani?
Kwani kujua tulipotoka Kuna shida yoyote swahiba?
Leo una mwadui ujue alafu makambo hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mpaka kuwe na mashindano
Ila karibu jumamosi Kule Congo Kuna mpira mwingi mno utapigwa kule na vijana wa MO wale VITA watakuwa AMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio. Sababu hadi mwaka huu huko kati kati mashindano yaanze, mpaka tufike makundi basi ujue huu uzi tushausahau kitambo.

Nasubiria nione mtakavyopata kichapo japo wewe huwa ni mmoja wa wale ambao simu zao zinakosa mtandao saa ya Mechi. Mpaka najiuliza ndio uoga ama? Sababu huonekanagi humu.
 
Mbona Bado una Ni include Mimi mchambuzi huru kwenye mashabiki wa Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mwaka huo Yanga alikuwa under'dog kwenye kundi lake?...
Ila alijitahidi alivuna point japo hakuvuka.
 
Back
Top Bottom