jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Na nyie mumfungage basi hata mwarabu ugali hahahhahahhahahaaahahaaahHamna kitu kama hicho banaaa. Mmeamua tu kuleta nyuzi zenu za kishabiki kisa mmemfunga yule mwarabu koko. Bhaass hakuna kingine hapo.
Una hakika gani kwamba tutashiriki mashindano ya Kimataifa mwakani na kufika huko makundini?