logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Aisee mkuu, habari yakoWe tunza maneno yangu,na urudi hapa jmosi baada ya mechi. Wale tunawapiga kulekule kwao na wakijitahidi sare tena ni sare ya mabao. Safu ya ushambuliaji ya Simba ina njaa sana,siyo rahisi kumaliza dakika 90 bila kufunga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app