Hii rekodi ya msanii Shakira imetisha

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Nilikua napita pita youtube nikajikumbushia ngoma ya "she wolf" ya shakira hiyo namba ya views sasa ni kiboko (japokua ni kwaida kwa wasanii wa mbele kua na viewers wengi),posted 6yrs ago,number of views m135 na ushee,kilicho nivutia zaidi ni kua wimbo wa miaka 6 iliyopita but still watu wana upenda na ku uangalia mpaka leo!

ingekua kibongo bongo hata kukumbuka jina tu la huo wimbo ingekua shida.
 

Attachments

  • 1441436561209.jpg
    58 KB · Views: 1,226
Watu wa viewers 1b had 2b mbona hiyo ni ndogo sana
 
Nani asiyetaka kuona miuno ya Shakira? Hata mimi nitaitafuta.
 
Una utani wewe.. Fatty Wap- trap queen ina views milion 224 na ndo ina mwaka sasa..
 
Nani asiyetaka kuona miuno ya Shakira? Hata mimi nitaitafuta.

Huyo bro hapo inaonekana ndo mara yake ya kwanza kuingia youtube au kaanza si muda mrefu kuingia youtube...views 123M unasema ni record??? Kwa muzik wa US na Europe??

PSY yule msouth Korea mwanye ngoma ya Gangham Style (spelling) ana views 2billions+, ngoma yake nyingine ya Gentlemen ina views 800Millions+, ngoma ya katy Perry ile ya ROAR ina views 1billions+ same kwa Justin bieber na ngoma yake ya "baby" ...huyo shakira ana ngoma yake na Rihhana inaitwa "i cant remember to forget you" ambayo ina mwaka MMOJA tu, ina views 570millions+...jamaa anashangaa views 123m..hahaha..kafungulia mpaka uzi..
 
Sio mbaya alivyofungulia uzi maana mmekuja watu na data zenu kama hivi hadi wengine ambao hawajui wamejua pia.
Angekaa kimya mngesemea wapi haya?
BTW....long time no see you.
 

kweli jamaa ni mgeni nyimbo ya wizy khalf ina miezi 4 tu in views mil 860+ inaitwa see u again..
 
Aliyeleta mada ni mwehu ndio ameanza kutumia internet leo
 
Mtoa mada; Psy, Just Bieber, Miley Cyrus , Taylor Swift , Katy Perry, Lady Gaga na hata Shakira Mwenyewe akiona huu uzi atakucheka sana!

Sijui kwanini umeutaja huo wimbo wakati hata kwa Shakira mwenyewe ana nyimbo zinaviewer nyingi kuliko huo; 'Wakawaka' alioupload 2010 una viewer Mil 900+, 'Whenever Wherever 'ni wimbo wake wa sikunyingi sana but utube kauupload 2009 still unaviewer nyingi kuliko ulioutaja, La La La ameuupload mwakajana kipindi cha world cup unaviewer Mil 500+, sijui mtoa mada umekula maharage ya wapi wewe!
 

Karibu youtube ndogo. Hayo unayoyaona makubwa kwetu madogo!
 
Nadhani suala kwake ilikuwa kuwa wimbo ni wa zamani na bado watu wanautazama.
 
kweli jamaa ni mgeni nyimbo ya wizy khalf ina miezi 4 tu in views mil 860+ inaitwa see u again..

Jamani jamaa kasema hiyo ngoma bado inapendwa pamoja na kuwa ina 6yrs..hizo zote mlizozitoa ni za juzi tu!..
 
Jamani jamaa kasema hiyo ngoma bado inapendwa pamoja na kuwa ina 6yrs..hizo zote mlizozitoa ni za juzi tu!..

kwanini asiuzungumzie whenever wherever wa zamani zaidi na wenye viewer nyingi zaidi ya huo?
 
Mi nasubiria tu ngoma ya Uptown funk ya Mark ronson Ft Brunomars ifikishe viewers bilioni moja ndani siku 7 au 9 zijazo
 
Kuna mbogo mmoja akifikisha view 1M inakuwa wimbo wa taifa!
Kuna m'bongo mmoja ananyimbo kama 2 zina viewers 10m+ na hajazifanya nyimbo za taifa japo yeye ni ICON wa taifa,ila nina wasiwasi na wewe inawezekana na wewe ni mgeni wa youtube.
 
Kuna m'bongo mmoja ananyimbo kama 2 zina viewers 10m+ na hajazifanya nyimbo za taifa japo yeye ni ICON wa taifa,ila nina wasiwasi na wewe inawezekana na wewe ni mgeni wa youtube.

Mgeni kivipi sasa youtube ilianzishwa juzi 2005? na video ya kwanza kuaplodiwa ilikuwa inaitwa Me at the Zoom
 

daah hamna dogo na nyie? Moderator futa hii thread tafadhali maana mashambulizi yamekua too much teh teh teh!!
 
Last edited by a moderator:
mkuu youtube ilianzishwa mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…