Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nilikua napita pita youtube nikajikumbushia ngoma ya "she wolf" ya shakira hiyo namba ya views sasa ni kiboko (japokua ni kwaida kwa wasanii wa mbele kua na viewers wengi),posted 6yrs ago,number of views m135 na ushee,kilicho nivutia zaidi ni kua wimbo wa miaka 6 iliyopita but still watu wana upenda na ku uangalia mpaka leo!
ingekua kibongo bongo hata kukumbuka jina tu la huo wimbo ingekua shida.
ingekua kibongo bongo hata kukumbuka jina tu la huo wimbo ingekua shida.