Uzuri hii misemo hupita tu..Muasisi ni MPENJA,,, yule wa Azam...
Amekuwa akisema hvo kipindi timu ikishida,,, huchombeza kwa kusema.. "kwani timu pinzani Yanga yenyewe insemaje"...
Sasa watu wameufanya ukue na kuutumia hata pasipotakiwa...
Tukae humo...kama hujaewa, Nyoosha mkono uliza
Uzuri hii misemo hupita tu..
900 itapendeza..
Mitano tena..
Watapata tabu sana..
Kipigo cha mbwa koko..
Yote yalipita hayo
Mie mwenyewe linanikera utakuta MTU anaelezea mfano MTU kafariki utasikia 'Kwani Marehemu mwenyewe anasemaje?' Tabia za kikenge Sana.Huu msemo wa kipumbavu muasisi ni nani? Mbona naona mpaka watu wa heshima wanajivua nguo katika hili?
Inakera sana yani!Mie mwenyewe linanikera utakuta MTU anaelezea mfano MTU kafariki utasikia 'Kwani Marehemu mwenyewe anasemaje?' Tabia za kikenge Sana.