Hii Restaurant ni yaje, ni yaje Aiseeeh

Hii Restaurant ni yaje, ni yaje Aiseeeh

Muasisi ni MPENJA,,, yule wa Azam...

Amekuwa akisema hvo kipindi timu ikishida,,, huchombeza kwa kusema.. "kwani timu pinzani Yanga yenyewe insemaje"...

Sasa watu wameufanya ukue na kuutumia hata pasipotakiwa...

Tukae humo...kama hujaewa, Nyoosha mkono uliza
Uzuri hii misemo hupita tu..

900 itapendeza..
Mitano tena..
Watapata tabu sana..
Kipigo cha mbwa koko..

Yote yalipita hayo
 
Huu msemo wa kipumbavu muasisi ni nani? Mbona naona mpaka watu wa heshima wanajivua nguo katika hili?
Mie mwenyewe linanikera utakuta MTU anaelezea mfano MTU kafariki utasikia 'Kwani Marehemu mwenyewe anasemaje?' Tabia za kikenge Sana.
 
Back
Top Bottom