Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi
View attachment 2624750
View attachment 2624751
Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
Hamna hiyo ya juu sio mashine ya kodi ni ya risitiKwa hiyo hiyo machine ni ya mchongo
Kwa hiyo hiyo machine ni ya mchongo