Hii risiti, kodi ni kuanzia bei gani?

Hii risiti, kodi ni kuanzia bei gani?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi
IMG_0088.jpg


IMG_0089.jpg

Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
 
Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi
View attachment 2624750

View attachment 2624751
Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
Hizo ni receipts za sehemu mbili tofauti sehemu ya kwanza (receipt ya juu) haijasajiriwa kwenye kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya pili (receipt ya chini) imesajiriwa kwenye kodi ya ongezeko la thamani (VAT)
 
Kwa kuwa jamaa ni mzalendo ngoja nikusaidie kidogo tuokoe taifa

8000x(18/100)=1,440
rudi dukani kalipe kodi hio hapo so jumla utatoa Tsh9,440 (kama nipo sahihi 😆😆😆)
 
Kwa hiyo hiyo machine ni ya mchongo
Hapana ni mashine mbili tofauti ukitazama namba ya mlipa kodi (TIN) sio kila mfanyabiashara anastahili kuingia au kuta Wakala wa ukusanyaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT), lazima mauzo yako yawe yanafika milioni 100 katika kipindi cha miezi 6.
 
Back
Top Bottom