Mshana Jr kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo.
Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni sabuni ya Imperial Leather.
Well nilikutana na hii kitu dukani Musoma huko, ngoma imebaki hivi. Mzigo ni wenyewe au mchina kaboresha formula?