Hii sabuni ya Imperial bado ni halisi au Mchina ameboresha formula?

Hii sabuni ya Imperial bado ni halisi au Mchina ameboresha formula?

Kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo.
Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni sabuni ya Imperial Leather.
Well nilikutana na hii kitu dukani Musoma huko,ngoma imebaki hivi. Mzigo ni wenyewe au mchina kaboresha formula?View attachment 3008212View attachment 3008213
1717499101830.png
 
Mods bwana kwa kujifanya wajuaji,naona wamebadili title yangu. Nilikuwa na akili timamu wakati naandika huu uzi,na title nimeandika nikijua nachofanya,Ubunifu uko wapi kama mnataka watu wote jukwaani tufuate akili za mods sita hapo ofisini kwenu?
 
Back
Top Bottom