Hii sarafu ya mjerumani ina thamani gani?

Hii sarafu ya mjerumani ina thamani gani?

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Bila shaka mu wazima wa afya.
Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?

IMG_20220712_120635.jpg
IMG_20220712_120652.jpg
 
Rupia hiyo ya Africa Mashariki enzi za mjerumani na haina thamani yoyote zaidi utatapeliwa tu na wajanja wa mjini we niki kuuliza cent 10 ya zamani kwa leo ina thamani gani utaniambia ni sawa na shingapi.?
 
Bila shaka mu wazima wa afya.
Naombeni kujua aina hii ya sarafu ilitumika nchi gani na je thamani yake ikoje kwa sasa?
Hebu ingia gugo kwanza uone. Simu unayo Ila unakuwa mvivu Sana mkuu!
Screenshot_20220712-184055.jpg
 
Back
Top Bottom