Hii sasa balaa

Hii sasa balaa

Ukiona mtu anaandika hivyo ujue hajakomaa akili zake,huwa sipotez muda kabisa idiot
 
watu wa jf bwana basi mtampa mi shit JITUPORI la watu mpaka ramadhani inaisha

Aaah! lakin wamezidi xx ndo nin sasa kama sio mjipu huo basi swaum ilimpanda
 
Nilikuwa nafanya kautafiti kadogo tu kujaribu kuprove, kwamba ni kweli hao ni Matapeli au nao ni watoto wa kike sasa ni ombaomba mitandaoni???
Nimeprove it is true, Watoto wapo bize kuomba pesa watu wasiowajua na wala hawajawahi hata kuwaona, daah! Imenisikitisha sana. Tena Age ni:18-23yrs, Daah Basi bana.
 
Back
Top Bottom