Dah ,hata wewe baby unaandika hivo?Ichi xaxa ni uharoooooo!!!
Hayo ni madhara ya kunywa uji wa chumvi na malimao,siyo kosa lake bhana,ni kosa la serekali tu.Ukiona mtu anaandika hivyo ujue hajakomaa akili zake,huwa sipotez muda kabisa idiot
Eee baby..[emoji34]Dah ,hata wewe baby unaandika hivo?
Basi nimelike,like,like.......................Eee baby..[emoji34]
Mi huwa najibu 'sijaelewa' mpaka atakapojishtukia.mtu yeyote yule akiniandikia ma xx yake siwezi kumjibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamejiita jitu ila ukikaona nadhani ni ka mwanafunzi ka level ya chini sana